Tuesday, April 8, 2014

ANNIE ANNA KATIKA MKUTANO WA INJILI MGWASHI BUMBULI

Ninamshukuru Mungu siku hii ilikuwa ni siku ya baraka nilipoweza kupata kibali cha kusimama mbele ya jamii na kuweza kumuimbia Mungu wetu wa mbingu. Niliona uwepo wa Mungu siku hii na Mungu alitubariki sana. Mkutano huu ni wa  mwezi Septemba 2013 na habari iliweka katika blogu za kijamii 8 Sept. 2013



Habari inatoka: Spiritual Ministry

No comments:

Post a Comment